Added: 6th July 2008 Posted By:MartinEdbom Views: 198 Comments:0
Nilinunua cd yenye jina moja kama wimbo huu jana katika duka la second hand bila kujua muziki itakuwaje. Bahati njema naona nyimbo nzuri zipo. Huu unaanza kama mfuto na halafu bendi wanaungana na kupiga rumba joto. Baila.