|
|
Tags:
|
|
Mwana Mkiwa - Ferouz Ft K Sal, ni video ya zamani lakini bado naikubali sana kutokana na ujumbe wake...Inasikitisha Though!.
Tags:
Bongo Flava |
|
Barua kutoka kwa mama-by mlimani park Orchestra.
Tags:
Mlimani Park |
|
rado akimdisi fid Q kutokana kumpiga chini rado wakati wakiwa kundi moja huko mwanza kabla fid hajaja dar na kustill mashairi ya rado sikiliza fid q.com compare na hii usiulize
Tags:
usiulize Rado Bongo Flava Swahili HipHop |
|
collabo hii ndio single ya kwanza ya fid q kutoka pangoni na pili ni ukweli na uwazi aliyoficha na nature
Tags:
bongo |
|
Rugby Documentary-Je matangazo mengine ni ya kibaguzi?, hebu angalia hili na skiliza maoni ya watu mbalimbali kutoka different back grounds....
Tags:
Documentary/Adverts |
|