Added: 22nd June 2008 Posted By:MartinEdbom Views: 391 Comments:2
Ninakumbuka Dinah aliuliza kuhusu huu wimbo lakini nilisahau ku-upload. Album ya 'solola bien' ninayo kama cassette tu kwa hiyo labda mwengine anayo kama cd aweza ku-upload yenye sound quality njema zaidi.