Added: 16th May 2008 Posted By:bobd77 Views: 1388 Comments:5
KUNDI mahiri la vichekesho la Ze Comedy ambalo lilikuwa likirusha kipindi chake cha ‘Ze Comedy Show’ katika kituo cha Televisheni cha EATV (Channel 5), jana limetangaza kupumzika kwa muda baada ya kuifanya shughuli hiyo kwa takribani miezi minane.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...