|
|
Tags:
|
|
Mwanamuziki aliyepiga na Maquis. Sasa yuko mjini Stockholm, tazama videos kwenye www.youtube.com/Dekula2
Tags:
vumbi kahanga maquis uvira |
|
KUNDI mahiri la vichekesho la Ze Comedy ambalo lilikuwa likirusha kipindi chake cha ‘Ze Comedy Show’ katika kituo cha Televisheni cha EATV (Channel 5), jana limetangaza kupumzika kwa muda baada ya kuifanya shughuli hiyo kwa takribani miezi minane.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...
Tags:
News |
|
Nilitazama video ya huu wimbo televisheni nilpotembelea Dar na bahati njema nilipata cassette tape jijini Kariakoo kabla kuondoka. Kama nakumbuka, katika video waliimba pamoja pwaani wale Suleiman na Banza.
Tags:
mbwembwe banza chichi |
|