Added: 23rd May 2008 Posted By:MartinEdbom Views: 184 Comments:1
Carlyto aimba ya kiswahili. Toka mwanzoni career yake. Halafu alitukuka kaktika makundi kama OK Jazz na Choc Stars ambamo aliimba pamoja Debaba, Defao, Djanana, Petit Prince na wengine, wote wenye sauti tamu.