Welcome Guest! · Bookmark us!

 

Your Ad Here

About MartinEdbom
MartinEdbom
Media: 51
Subscribers: 0
MartinEdbom Is Offline!


Gender: Male
Age: 28
Country: SE

Send Message
Add To Friends
Add Comment
Block User
Subscribe

MartinEdbom Is Offline!

Vumbi Dekula god is one mola ni moja
Added: 20th November 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 79
Comments: 0

Vumbi ametoa cd yake mpya 'rumaliza'. Hii summer alienda TZ kupiga pamoja na wenzake wa Maquis. Soma zaidi kwenye http://africabambataa.blogspot.com/2008/10/vumbi-dekula-kahanga-live-on-bambataa.html au http://africabambataa.blogspot.com/2008/10/marquiz-walifunika-ile-mbayaaaaaaaaaa.html au nenda...

Tags: kahanga vumbi dekula rumaliza uvira
Ally Choki na Extra Bongo -  3x3
Added: 20th November 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 112
Comments: 3

Wana East Africa(n Tube) tingishaka...

Tags: ally choki extra bongo kutwa mara tatu sebene
M Muumini and Bagamoyo Sound ndoa ya mkeka
Added: 20th November 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 76
Comments: 0

Nafikiri huu wimbo ni kutoka kabla alienda Wana tamtam, Mchinga etc ?

Tags: mwinjuma muumini dansi
Mlimani Park Sikinde talaka ya hasira NA kassimu 2
Added: 21st July 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 419
Comments: 0

Continuation of the story of Kassimu (listen to part one from KBH). I like the conversation from the bar that add to the song. Kama 'bonus' naunga 'talaka ya hasira' toka cassette ileile.

Tags: mlimani kassimu talaka ya hasira sikinde
Mlimani Park Sikinde rehema
Added: 6th July 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 351
Comments: 1

Cheza polepole na Mlimani

Tags: mlimani sikinde rehema
Kampi Moto and George Phiri acha masimango
Added: 6th July 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 232
Comments: 0

Nilinunua cd yenye jina moja kama wimbo huu jana katika duka la second hand bila kujua muziki itakuwaje. Bahati njema naona nyimbo nzuri zipo. Huu unaanza kama mfuto na halafu bendi wanaungana na kupiga rumba joto. Baila.

Tags: masimango kampi phiri kawanga rumba
Jolino reconciliation damour
Added: 1st July 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 79
Comments: 0

Watch a few more newly uploaded clips by Jolino and Lidjo Kwempa at www.youtube.com/MartinEdbom

Tags: jolino kinshasa rdc reconciliation
Msondo OTTU baba mayi
Added: 1st July 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 228
Comments: 4

Just spoke to a friend who is in TZ visiting her family and friends. The sound of Msondo and the voice of TX reminds me of our trip there some three years ago.

Tags: msondo ottu baba mayi tanzania
Mlimani Park Sikinde fumanizi
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 350
Comments: 5

Naona nilisahau kubadilisha ile version ya mp3 iliyoimba upesi upesi. Haya, sasa naweka kama Wma. Unijulishe ikipigwa safi sasa.

Tags: mlimani sikinde fumanizi
Werrason na Wenge Maison Mere mission impossible
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 290
Comments: 0

nyingine ya Werrason, toka album ya 'force d'intervention rapid'

Tags: werrason wenge mission
Werrason na Wenge Maison Mere vita imana
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 417
Comments: 2

Ninakumbuka Dinah aliuliza kuhusu huu wimbo lakini nilisahau ku-upload. Album ya 'solola bien' ninayo kama cassette tu kwa hiyo labda mwengine anayo kama cd aweza ku-upload yenye sound quality njema zaidi.

Tags: wenge werrason vita
Dar International pesa sabuni ya roho
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 546
Comments: 1

The sound quality on the cassette is not the best and I'm not very good at transferring to the computer either so hope you don't mind.

Tags: marijani rajabu
Suleiman Mbwembwe na Banza Stone mama chichi
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 436
Comments: 2

Nilitazama video ya huu wimbo televisheni nilpotembelea Dar na bahati njema nilipata cassette tape jijini Kariakoo kabla kuondoka. Kama nakumbuka, katika video waliimba pamoja pwaani wale Suleiman na Banza.

Tags: mbwembwe banza chichi
Matimila kidogo chako
Added: 22nd June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 267
Comments: 2

toka cassette kwa jina la 'mbele kwa mbele'

Tags: ongala remmy matimila
Chebli Msaidie laila
Added: 20th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 132
Comments: 0

congo style

Tags: chebli kikomoro
Chebli Msaidie anicia
Added: 20th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 75
Comments: 0

orient style

Tags: chebli kikomoro
Mikidache lada ya mwana
Added: 20th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 129
Comments: 0

comoro

Tags: shimaore kikomoro mikidache
Mikidache mwandzani
Added: 20th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 92
Comments: 0

comoro

Tags: shimaore kikomoro mikidache
Josky Kiambukuta aziza
Added: 17th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 245
Comments: 2

Listening to Mwafricas postings (thanks for all the good stuff) of Josky's 'sopeka' and NUTA's 'aziza' I was inspired to dig out an 'aziza' of Josky from the record shelf. Unusual at least for me to hear OK Jazz singers Josky, Ntesa etc to sing in Kiswahili.

Tags: congo Josky aziza
Mlimani Park Sikinde maneno maneno
Added: 11th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 507
Comments: 6

Msondo au Sikinde, Extra Bongo au Twanga Pepeta, Double M au TamTam, ZNZ Stars au Melody. Kwa kila hali mimi siwezi kuchagua na hivyo naenda huko na huko na kila kambi, pahali po pote muziki nzuri ipo.

Tags: mlimani sikinde maneno
Sanaa Kariakoo kibunguu
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 127
Comments: 0

ngoma ya zumari

Tags: traditional waswahili
Fatma Saleh Kibwana mpeni pole
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 375
Comments: 0

Taarab mtindo wa miaka ya 80's

Tags: unguja muungano wa wanawake
Mazembe Bana Likasi mado zaina
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 608
Comments: 1

According to the cd booklet this is part 1 (one side of a vinyl single). Really like the sebene so if there is a continuation it would be nice to hear. Maybe someone has got a copy of the whole song?

Tags: congo mazembe likasi nairobi longomba
Mlimani Park Sikinde sauda
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 328
Comments: 4

Version nyingine toka album 'sungi'. Lingana na wimbo uliowekwa na Sebude. Sikiliza pia 'MV mapenzi' ambao uliwekwa kwa Bobd.

Tags: sikinde sauda ngoma ya ukae
All Stars Taarab
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 354
Comments: 0

taarab

Tags: taarab
Kikundi Cha Taifa Cha Taarab
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 252
Comments: 0

Ninazibadilisha nyimbo ambazo ziimbi upesi mno kama mp3 niziweke kama WMA format badala yake.

Tags: taarab
Everest Kings Band kujenga nyumba
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 211
Comments: 3

kujenga nyumba kazi ngumu, kubomoa rahisi

Tags: omari shabani Freshley Mwamburi Everest Kings wanyika
IOSS usilipuke kucheka
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 137
Comments: 0

Asante J-J kwa huu wimbo pia.

Tags: ioss safari ndekule
IOSS kata ya maji ukweni
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 184
Comments: 3

Asante jirani wangu J-J kwa huu wimbo.

Tags: wana ndekule
African Revolution usia wa baba
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 327
Comments: 2

wana tamtam

Tags: revolution wana tamtam bakule
African Stars kumekucha
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 402
Comments: 1

Wimbo wa Banza Stone

Tags: twanga pepeta african stars banza kisa cha mpemba
African Stars saudia
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 220
Comments: 0

twanga pepeta

Tags: twanga pepeta
Vumbi Dekula mambo leo
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 93
Comments: 0

Mwanamuziki aliyepiga na Maquis. Sasa yuko mjini Stockholm, tazama videos kwenye www.youtube.com/Dekula2

Tags: vumbi kahanga maquis uvira
Hussein Jumbe ndugu zangu wamenitenga
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 92
Comments: 0

Mtu ajuaye Hussein Jumbe yumo kundi gani siku hizi?

Tags: musiki wa dansi
Kusini Dela Dela mangenge
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 139
Comments: 1

selebuka

Tags: kusini komba
Vijana Jazz mfitini
Added: 10th June 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 253
Comments: 0

Ninazibadilisha nyimbo ambazo haziimbi vizuri kama mp3 kwa WMA format.

Tags: vijana jazz mfitini tanzania
Carlyto Lassa naomba radhi
Added: 23rd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 184
Comments: 1

Carlyto aimba ya kiswahili. Toka mwanzoni career yake. Halafu alitukuka kaktika makundi kama OK Jazz na Choc Stars ambamo aliimba pamoja Debaba, Defao, Djanana, Petit Prince na wengine, wote wenye sauti tamu.

Tags: carlyto congo bombenga wewando
JB Mpiana Wenge BCBG no comment schengen NA champion kapangala
Added: 23rd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 278
Comments: 2

Nasikia kesho JB akuja Stockholm kwa hiyo tujiandae sasa hivi kwa hizi nyimbo. Toka album za 'pentagone' na 'titanic'.

Tags: wenge bcbg mpiana
JB Mpiana Wenge BCBG dis-moi l amour NA  feux d amour
Added: 23rd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 570
Comments: 0

Bolingo, upendo, amour, love. Toka album za 'TH' na 'feux de l'amour'.

Tags: wenge bcbg mpiana
JB Mpiana Wenge BCBG danico NA mulolo
Added: 23rd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 320
Comments: 2

Nasikia kesho JB akuja Stockholm kwa hiyo tujiandae sasa hivi kwa hizi nyimbo. Toka album za 'kala ya boeing' na 'bouger bouger'. Bana na mboka tokende koyoka, tokosepela na tobina.

Tags: wenge bcbg mpiana
Athmani and Hodi Boys mapenzi tu  mp3 2
Added: 23rd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 137
Comments: 2

Guess you're starting to get tired of me testing different formats. Should only check this song in some different mp3 formats and WMA. In any case it seems WMA will work so perhaps I can stick to that.

Tags: zilipendwa
Msondo OTTU nampenda kijana
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 304
Comments: 1

nyingine ya TX.

Tags: msondo
Msondo OTTU tuma
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 254
Comments: 7

the wma-file version, tumaini itaimba sawa sasa.

Tags: msondo tuma mambo hadharani
Golden Sounds Band east africa
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 141
Comments: 5

The eastafricantube.com anthem?

Tags: golden sounds msichoke kombo
Mbilia Bel duku-duku
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 213
Comments: 0

Another from 'ironie'

Tags: Mbilia Bel congo
Mbilia Bel hawapendi
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 281
Comments: 0

Mrembo wa Congo mwenye sauti tamu. Toka album yake 'ironie'.

Tags: mbilia bel congo
African Revolution mapendo
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 388
Comments: 4

Jaribio jipya kwa huu wimbo kama wma-file. Wale waliokuwa na tatizo kuusikiliza kama mp3 labda sasa itafaa? Unijulishe ikiwa bado haiwezekani.

Tags: wana tamtam
Dar Jazz fitina nyingi
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 191
Comments: 0

wa kale

Tags: zilipendwa zamani dar jazz
testing OTTU song
Added: 22nd May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 140
Comments: 10

Testing if this wma file plays OK. Still no clue why some mp3 files play fine at some computers but too fast at others.

Tags: ottu msondo
Kerfala Kante papa kemo
Added: 12th May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 278
Comments: 0

Loosing the east african focus for a while. However, good music reaches beyond borders. For a new friend on the tube, natumaini utaupenda.

Tags: kerfala kante guinee guinea conacry magharibi
Getty solo
Added: 8th May 2008
Posted By: MartinEdbom
Views: 121
Comments: 1

Matangazo. Stockholm singer Getty's latest video. Marafiki zangu Marcellin (chorus) na Kristian (guitar) wamo. Kutazama zaidi, nendeni http://www.youtube.com/GettyTD. Bana na pop na sika: bina bina

Tags: getty solo lingala pop